Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Wizara hiyo Ameir
Abdallah Ameir imesema walioteuliwa ni pamoja na Hassan Ali Hassan na
Kombo Shaame Kai.
Wengine ni Aziza Saleh Mohammed, Ramadhan Omar Mohamed na Nassor Rajab Dachi.
Taarifa hiyo imefahamisha kuwa uteuzi wa Wajumbe hao umeanza Disemba 23, 2016.
IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR
chanzo; zanzibar24.
Comments