Uchaguzi Dimani kutumia Bilioni 1.7.

dsc_0647Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) itatumia Sh bilioni 3.9 kama gharama za uchaguzi katika Jimbo la Dimani, Zanzibar na kata 22 ambazo zitafanya uchaguzi wa madiwani. Uchaguzi wa Jimbo la Dimani utagharimu Sh bilioni 1.7 na ule wa kata 22 unatarajia kugharimu Sh bilioni 2.2.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa tume hiyo, Ramadhani Kailima wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika januari 22, 2017 katika jimbo la dimani na kata ishirini za Tanzania bara.

Comments