Rais Magufuli Amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Kuchukua Nafasi ya Damiani Lubuva.

Rais Magufuli leo amemteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua nafasi ya Jaji Lubuva ambaye amestaafu na Hamid Mahamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti.
Jaji Semistocles atahudumu katika nafasi ya Uenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa muda wa miaka mitano.
chanzo;mpekuziblog.

Comments