Tundu Lissu(Mb) aachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na jeshi la Polisi mapema mchana wa leo ambapo pamoja na mambo mengine alihojiwa kwa kumuita Rais Magufuli ‘Mtakatifu’. Pia alihojiwa kuhusu sakata la kupotea Ben Saanane.
Tarehe 14 Desemba mwaka huu, Lissu alizungumza na waandishi wa habari akiomba vyombo vya ulinzi kusaidia kupatikana kwa kiongozi huyo.
chanzo;zanzibar24.
Comments