Mkurugenzi wa baraza hilo, Saidi Juma Ahmada aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kianga baada ya kukagua mipaka ya wilaya hiyo.
Amesema uamuzi huo umekuja baada ya kuwepo msongamano mkubwa wa gari zinazotoka shamba zinazotoka mashamba zinazoweza kusababisha ajali.
Baraza hilo tayari lipo katika mkakati wa kuutekeleza mpango wa kujenga kituo hicho pamoja na kutekeleza mipango mengine ikiwemo ya uwekaji kifusi katika njia ya Darajabovu na Welezo, kukarabati msikiti wa Makufuli pamoja na kukarabati soko la Bububu kitiuo cha polisi.
chanzo;zanzibar24.
Comments