Yasema mabadiliko ya hali ya hewa kwa sasa yanatokana na kuwepo kwa
msimu unaotawaliwa na uwepo wa LANINA ambayo ni ongezeko la hali ya
baridi katika eneo la Ikweta ya Bahari ya Pasifiki.
Bado matarajio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa na upepo vitaendelea
kuwepo katika msimu huu mpaka mwezi Disemba na mabadiliko kidogo
yatajitokeza kwa baadhi ya mikoa ambapo mvua zitanyesha kwa wastani.
chanzo; zanzibar24.
Comments