Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia
leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin Sitta.
Mungu aiweke Roho ya marehem mahali pema peponi ...Amina
chanzo;mpekuziblog.
Comments