Mheshimiwa Rais Dkt. Shein atasaini Mswada huo wa Sheria baada ya
Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuupitisha katika mkutano wa tatu wa
Baraza hilo lililofanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Mheshimiwa Rais atasaini mswaada mbele ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari vya hapa nchini.
Kutiwa saini mswada huo hapo kesho kutawezesha kazi ya utafutaji na
uchimbaji wa mafuta na gesi asilia Zanzibar kuanza katika visiwa vya
unguja na pemba.
chanzo; zanzibar24.
Comments