Msimamo huo ulitangazwa na wanachama hao wakati wa kikao na Profesa Lipumba, aliyekuwa Tabora kuhudhuria maziko ya Spika mstaafu, Samuel Sitta.
“Ndugu zangu niliona jitihada za kuidhoofisha CUF upande wa bara zikifanyika, ikiwamo kuwasimamisha wabunge wachache tuliowapata kwa kazi kubwa, nikagundua hii shughuli ni nzito siyo ya kumtuma mtoto ndiyo maana nikaingia,” alisema Profesa Lipumba.
chanzo;zanzibar24.
Comments