Saleh Ramadhan Feruzi aliwahi kuwa mtendaji mkuu wa Zanzibar kama Naibu katibu wa chama hicho hapa visiwani ambapo atakumbukwa kwa mengi ikiwamo kukisaidia chama hicho kuibuka na ushindi katika chaguzi mbalimbali kilizoshiriki.
Mwenyezimungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezimungu na hakika kwake tutarejea.
chanzo;zanzibar24
Comments