Akizungumza na Zanzibar24 amesema watu wengi wanaotumia siagra hujihusisha na matumizi mabaya ya dawa za
kelevya hali inayochangia kuongezeka idadi ya watumiaji wa dawa hizo.
Hata hivyo amesema Matumizi ya dawa za kulevya huongeza mzigo kwa taifa kwa kuwa hupunguza nguvu kazi na husababisha uharibifu wa mali na . gharama za udhibiti zikiwemo utoaji wa elimu kwa umma, uteketezaji wa mashamba ya bangi, uendeshaji wa kesi, kuwatunza wafungwa magerezani na kuwatibu watumiaji huongeza mzigo kwa taifa na jamii kwa ujumla.
chanzo;zanzibar24
Comments