VIJANA katika kijiji cha shidi
shehia ya Mkanyageni wilaya ya mkaoni mkoa wakusini Pemba,wametakiwa
kujikita zaidi katika kufanyakazi kuliko kusubiria ajira kutoka kwa
serikalini.
Hayo yameelezwa na Ndugu
Abdaalla Khamis Ali alipokuwa kizungumza na mwandishi wa habari hizi
wakati alipokua akitembelea maeneo mbalimbali kujua changamoto
zinazowakabili vijana ambapo alibahatika kufika nymbani kwa bwana
Abdalla shidi mkoani Pemba.
Amsema kuwa baadhi ya vijana
hatawataki kujiajiri wenyewe na badala yake kusubiria ajira kutoka
serikalini jambo ambalo hupelekea kujiingiza katika vikundi viovu kama
vile matumizi ya dawa za kulevya, utapeli na ukabaji.
Kwaupande wake mjasiriamali
Rashid Ali Faki amesema kuwa,vijna walio wengi hawataki kujishughulisha
na kazi yoyote ile jambo ambalo huongeza ugumu wa maisha na kuwa mzigo
mkubwa kwa familia zao.
chanzo;zanzinews.
Comments