Mwenyekiti na Makamo mwenyekiti wa Baraza la vijana wazungumza na waandishi wa habari na kueleza mikakati yao.
Makamo
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar, Maryam Ishau akisisitiza jambo
alipozungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mikakati walioiweka baada
ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Mwenyekiti pamoja na Makamo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar kuelezea mikakati walioiweka baada ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar
Khamis Rashid Kheri akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa na
Waandishi wa Habari katika Mkutano wa kuelezea mikakati yao walioiweka
baada ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
chanzo;zanzinews.
Comments