Katika namna moja manuwari za Iran zimeripotiwa kuja karibu kwa zaidi ya mita mia mbili na meli za Marekani.
Amesema tabia ya Iran haikubaliki na ikizingatiwa kwamba meli ilikuwa kwenye mpaka wa maji wa kimataifa.
Waziri
wa ulinzi wa Iran Generali Hosein Deh-ghan ametaarifu kwa kusema kuwa
msako kama huo utaendelea ili kutoa changamoto kwa meli za kigeni
zinazoingia kwenye maji ya Iran.
chanzo;bbc.
Comments