Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya
kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili
wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe
Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamu
wakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa
Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe
Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
Viongozi
mbali mbali waliojumuika katika Kisomo cha Dua ya Khitma ya kumuombea
Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
katika msikiti wa Mushawar Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha
na Ikulu.]17/08/2016.
Miongoni
mwa Waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika msikiti wa
Mushwawal Mwembe Shauri Mjini Unguja wakisoma dua ya Khitma leo ya
kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud
Jumbe Mwinyi aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani,[Picha na
Ikulu.]17/08/2016.

chanzo;zanzinews
Comments