Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango.
Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.
Comments