Watu wawili wanusurika kufa kufuatia ajali ya gari ya abiria kufeli breki iliyo tokea Mchanga mdogo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba majira ya saa moja na nusu asbuhi.
Kwa mujibu wa mashuhuda walio shuhudia tukio hilo wamesema kua gari hilo lilifeli breki wakati dereva huyo alipotaka kusimama na kuanguga hapo hapo.
Comments