kufuatia ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Msufini Kiuyu Minugwini Wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba watu watatu wamenusurika kufa huku bidhaa zilizopakiwa zikiharibika mno.
Ajali hiyo imetokea leo hii majira ya 7:45 za mchna wakati gari la shirika la biashara la ZSTC lenye namba za usajili SLS 203 lililokua likitokea Wete kuelekea Chake chake kuanguka baada ya dereva wa gari hilo aliejuulikana kwa jina la Mjaka Ajabu Juma alipo jaribu kupishana na gari jengine hatimae kushindwa kutokana na mazingira ya mvua yaliyopo ilisababisha gari hiyo kuteleza na kupinduka.
Kamanda wa mkoa wa Kaskazini Pemba Hassan Nassir Ali amethibitisha kutokea kwa tukio hilo nakusema kua mpaka hivi sasa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha kutokana na ajali hiyo.
Kamanda Ali amewataka madereva kuwa makini zaidi wanapoendesha magari yao kuzingatia mazingira halisi ili kuepusha ajali zinazoweza kusababisha vifo na majeraha kwa dereva mwenyewe, abiria ama wananchi wa kawaida.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tokeo hilo waliozungumza na PEMBA NEWS MEDIA wamesema chanzo cha ajali hiyo nikufeli kwa breki kulikosababisha gari hilo kuteleza barabarani nakuanguka mpaka kupinduka chali.
Ndani ya gali hilo mulikua na watu watatu na Mbao zinazo kadiriwa kifikia korija tatu ambapo watu hao wametoka salama na mzigo huo wa Mbao uliyokuwamo katika gari hilo kuharibika.

Comments