Tahadhali yatolewa kwa wanchi ili kujikinga na maradhi ya kipindu pindu Chake chake PEMBA.

Wananchi wa shehia ya chachani na maeneojirani katika wilaya ya chake chake wametakiwa kuchukua tahadhali kwa kuwepo kwa maradhi ya kipindu kipindu.

Tahadhari hiyo imetolewa na naibu sheha wa shehia ya chachani abrahmani shehe mohd juu ya kukithiri wa ucha kwa baadhi ya maeneo ndani ya shehia hiyo.

Amesema usafi wa mazingira mihimu katika kila sehe kwani mvua zinazo endelea kunyesha hivi sasa zinaweza kusababisha maradhi tofauti tofauti.

Amefahamisha kua ili kujikinga na maradhi hayo ya kipindu pindu nilazima kila mmoja achukue hatua ya kudumisha usafi pamoja na kuchemsha maji kabla ya kutumia.

Ameeleza kua  maradhi ya kipindu pindu ni maradhi hatari hivyo kila mmoja wetu achukue jukumu la kudumisha usafi na kufuata miongozo ya wataalamu wafya.


Aidha ametoa wito kwa wananchi wote kukimbilia hospitali kwa haraka pindi wanapo gudua dalili za ugonjwa huo.
samahani mpenzi msomaji picha hii sio rasmi.

Comments