NOCOMPED COMMUNITY MEDIA

Zanzibar: Vurugu za baada ya uchaguzi

Baadhi ya wakazi wamekimbia, kujeruhiwa na wengine kuvunjiwa majumba yao Mjini Wingwi, Pemba. DW imeezungumza na Ahmed Juma aliyetembelea maeneo hayo na anaelezea kiini cha vurugu hizo.
chanzo;dw

Comments