NOCOMPED COMMUNITY MEDIA

Vurugu Zanzibar: Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Hamdani Omar Makame


Habari chanzo; zinaeleza kwamba, nyumba kadhaa ikiwemo  ya Hamdani Omar Makame ambaye  ni Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar  zimelipuliwa kwa mabomu.

Habari hizo zinaeleza kwamba, Jeshi la Polisi linaendesha kamata kamata ya watu waliohusika kwenye tukio hilo  ambapo  mpaka  sasa  watu 31 wametiwa  mbaroni.

Tukio hilo limezidisha hali ya wasiwasi visiwani humo ambapo ni siku 5  tu  zimesalia  kabla  ya  uchaguzi  wa  marudio  kufanyika. chanzo;
http://www.mpekuzihuru.com/2016/03/vurugu-zanzibar-bomu-larushwa-na.html

Comments