Mgombea Urais CCM Zanzibar Dr Hussein Mwinyi Kuzindua Kampeni Kesho Jumamosi Septemba 12 - KibandaMaiti. September 11, 2020 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Waeleze wana kuwa KibandaMaiti ZANZIBAR kuna jambo. Mjulishe mwenzako kuwa wanaCCM wana JAMBO lao na Rais wao ajaye.... Mtu wa watu, Mnyenyekevu, Kijana Mchapakazi na anayekubalika Dkt Hussein Mwinyi. Ni kesho JUMAMOSI tarehe 12 Septemba 202O. Comments
Comments