Kasobi alilazwa hospitalini hapo Jumapili Agosti 4, 2019 baada ya kupata ajali wakati akiendesha gari linalotumiwa na baba yake, Shida Masaba (55) kumwendesha Mkuu wa Mkoa.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara, Dk Hosea Bisanda akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Agosti 6,2019 amethibitisha kutokea kwa kifo hicho usiku wa kuamkia leo.
Dk Bisanda amesema taarifa kamili bado hajapata kwa vile hajafika hospitalini.
Comments