LIVE | Shughuli ya Kuagwa kwa Marehemu Dkt. Reginald Mengi - Ukumbi wa Karimjee DSM.

Viongozi mbalimbali, ndugu na Marafiki wanashiriki katika tukio la kuagwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , Dkt Reginald Abraham Mengi. Shughuli hio inafanyika leo hii katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam. Tazama hapo chini.



Comments