Skip to main content
Rais Magufuli Aondoka Nchini Kwenda Malawi Kwa Ziara Ya Siku Mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Aprili, 2019 ameondoka kwenda nchini Malawi ambapo anatarajiwa kufungua msimu wa Soko la Tumbaku nchini humo.
Comments