Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu. February 18, 2019 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Bodi ya Filamu Tanzania imetangaza leo kumfungulia kuendelea na kazi za sanaa Muigizaji Wema SepetuWema alifungiwa kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania. Comments
Comments