LIVE: Rais Magufuli kwenye uwekwaji wa saini wa Mauziano ya mahindi na WFP.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Magufuli leo januari 4
anashuhudia utiaji saini mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya wakala
wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Dunia (WFP).
Comments