Fid Q na mpenzi wake wafunga ndoa. January 02, 2019 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Msanii wa muziki Bongo, Fid Q amefunga ndoa na mpenzi wake jana. Hatua hiyo ikuja zikiwa ni siku chache zimepita tangu Fid Q alipomvisha pete ya uchumba mpenzi wake huyo. Comments
Comments