Skip to main content
Dr. Shein awasili kisiwani Pemba kwa Sherehe za Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein tayari ameshawasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya Kilele cha
Maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
zitakazofanyika tarehe 12.01.2019 katika kiwanja cha Gombani Wilaya ya
Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba.
Comments