Mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa aliifunga mabao mawili timu yake ya zamani dakika za 33 na 60, wakati bao jingine lilifungwa na kiungo Mghana, Ennock Atta-Agyei dakika ya 40.
Azam FC inafikisha pointi nne baada ya ushindi huo kufuatia sare ya
1-1 na Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa kwanza na kupanda kileleni mwa
Kundi B.
Comments