Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) Yanza zoezi la kuwapima umri wachezaji watakaoshiriki kwenye michuano ya CECAFA.

Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) imeanza zoezi la kuwapima umri wachezaji watakaoshiriki kwenye michuano ya CECAFA Kanda ya 5 itakayofanyika hapa nchini kuanzia tarehe 11/08/2018.


Mpekuzi.

Comments