Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameambatana na
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai na baadhi wa Waheshimiwa Wabunge
wamemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Khamis Kigwangalla
kwa lengo la kumjulia hali katika Hospitali ya Taifa ya Muhumbili
alikolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari.
Mpekuzi.
Comments