Rais Magufuli Atoa Pole Kwa Mwanahabari Eric Shigongo Kwa Kufiwa Na Mama Yake Mzazi Jijini Dar Es Salaam Leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho wakiwa na Mkurugenzi
Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama
yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani
Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.(Picha na IKULU)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global
Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi
Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam
leo Julai 29, 2018. Kushoto ni mwanafamilia Bw. Daudi Machumu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na mkewe Mama Janeth
Magufuli walipofika msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai
29, 2018 kutoa pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group
Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela
Mpekuzi.
Comments