Rais John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea Lee
Nak-yeon leo wanashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa daraja
jipya la Selander jijini Dar na njia zake.

Hafla ya utiaji saini wa mkataba huo inafanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam ambapo serikali kupitia wakala wa barabara Tanzania (Tanroads)
inatiliana saini na mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja
hilo.

Daraja la Salander litaunganisha eneo la Aga Khan katika barabara ya
Barack Obama na eneo la Coco Beach Katika Makutano ya baabara za
Kenyatta na Toure.

Comments