LIVE: Rais Magufuli Akipokea Gawio la Serikali Kutoka Katika Mashirika 47.

Rais Dkt John Magufuli Leo Julai 23, 2018 , anapokea gawio la kipindi cha mwaka 2017 / 2018 kutoka kwa Wakala, Kampuni, Taasisi, na Masharika ua Umma 47 ambayo serikali inamiliki hisa. 

Hafla ya kupokea gawio inafanyika katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Comments