Kenyatta ameoomba msamaha huo mapema jana wakati
akilihutubia bunge la nchi hiyo ikiwa ni kawaida kwake kulihutubia
bunge mara moja kwa mwaka.
“Forgive me. Nisameheni tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha tusahau yaliyopita,” amesema Rais Kenyatta ambapo inaaminika alitumia saa moja na dakika 22 katika hotuba yake.
Akizungumzia kuhusu yeye kukutana na Kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchi Kenya , Kenyatta amesema kwamba“Wakati tulipokutana mimi na yeye (Odinga) mapema mwaka jana tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa kwamba tutatumia muungano wetu kutatua kero za Wakenya”.
Zanzibar24

Comments