Mwanadada
pekee kutoka katika kundi la wasafi, Queen Darlen amefunguka na kutoa
ushauri kwa msanii mwenzake kutoka katika kundi hilo kwa kumtaka
Harmonize kupunguza tabia ya uhuni kwa sababu anamtesa sana sarah ambae
ni mpenzi wake kwa sasa.
Queen
Darlen amemtaka Harmonize kuacha kukata tamaa katika kazi lakini
amesmhauri kuwa inabidi apunguze kuwa na wanawake wengi na kutulia na
mpenzi aliyenae kwa sasa amabe ni Sarah.
"Apunguze
uhuni,atulie mtoto wa watu maskini ya Mungu mzungu yule anampenda ila
yeye mhuni mdogo wangu ,mhuni sana , mdogo wangu maisha ya uhuni sio
mazuri anakuwa kama mfalme sulemani. aache hizo.
Hata
hivyo kuna tetesi zimekuwa zikisambaa hivi karibuni kuhusu Harmonize
kugombana na mpenzi wake huyo wa kizungu huku sababu kubwa ikiwa ni wivu
wa mapenzi.
Comments