Wiki
Kadhaa baada ya Video yao ya uchi kusambaa mitandaoni, Bill Nass
amefunguka kuwa tayari kuna kuna ngoma ameshafanya na Nandy muda ukifika
wataachia.
Hit
maker huyo wa Tagi Ubavu amesema hayo katika kipindi cha Kikaangoni cha
EATV na kuongeza kuwa mrembo huyo ni rafiki yake tu kwa sasa.
“Kuna
wimbo tumefanya pamoja, wimbo umefanywa chini ya S2kizzy hivyo naamini
muda ukifika utatoka tu ila nachojua ni wimbo mkali, kuhusu jambo ambalo
limetokea,” amesema Bill.
Rapper
huyo ameongeza, “Kuhusu mimi na yeye tayari nilishaomba radhi kwa
wananchi na sasa maisha ya kawaida yanaendelea, hivyo hatuna tofauti
yoyote ile kwa kuwa yule ni rafiki yangu na nina iheshimu sana familia
yake akiwa pamoja na mama yake kwa kuwa ni mtu ambaye amekuwa akijito
Comments