
kupitia ukurasa wake wa Instagram Mtatiro ameibuka na kuwatoa hofu wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) ambapo alisema “Mimi naendelea na majukumu yangu kama Kiongozi wa Juu wa chama anayetambuliwa na chama na vikao vya chama, na vitangazo hivyo vya wahuni haviwezi kunishughulisha wala kuwashughulisha wenzangu.”
Soma hapo chini kwa ukamilifu alicho kiandika Julius Mtatiro:
chanzo:zanzibar24.
Comments