
Moto huo ulitokea majira ya saa tatu usiku wa kuamkia leo wakati
wanafunzi takribani 40 wanaoishi katika bweni hilo wakiwa darasani
wakijisomea.
Hata hivyo licha ya moto huo kutekeza bweni, hakuna madhara ya
kimwili kwa upande wa wanafunzi hao isipokuwa kwa wale waliopata
mshituko na kuzimia ambao wamelazwa katika Hospitali ya Magunga na
Majengo wilayani humo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha moto kinadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.





chanzo:zanzibar24.
Comments