Mkurugenzi
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk.Helen Kijo-Bisimba jana
alifika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya
Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa.
Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema
chanzo:Mpekuzi.
Comments