
Viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mkoa wa Mjini Unguja
wamefanya matembezi ya kukaguwa wagonjwa hospital ya mnazi mmoja wodi za watoto [dodoma] ikiwa ni shamra shamra za maazimisho ya
kutimiza miaka 41 ya kuzaliwa kwa chama
hicho
.
Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Talibu Ali Talib ambae ni mgeni rasmi katika ziara hiyo amesema kuwa watazidi kutoa misaada kadri ya uwezo
wao na kusaidia wenye matatizo na
wasojiweza.
Kwa upande wake Mgurugenzi Utawala, Utumishi Idara ya Mnazi
mmoja Hospital amesemalicha ya
changamoto walizonazo pia wapo tayari
kupokea misaada wakati wowote kutoka kwa mashirika mbali mbali.
Dr bingwa wa watoto Amour
Ali Amour amesema kuwa amefrahishwa na ujio wa viongoz hao pia amewaushauri
wawe na moyo wa kuendeleza kusaidia na watafurahi zaidi wakiwasaidia chombo
ambacho kitaweza kuwasaidia watoto kufyonza umanjano [photosarap mashine].
Comments