Habari Picha : Rais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala Nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo
yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao
jijini Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo
yao Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kupiga picha ya
pamoja na Mawaziri pande zote mbili za Kenya na Tanzania mara baada ya
kikao chao Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi
ajambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
chanzo:Mpekuzi.
Comments