
Batshuayi, ambaye ameelekea Dortmund hadi mwisho wa msimu huu alifunga bao lake la kwanza katika kipindi cha kwanza kabla ya kuongeza bao la pili baada ya saa moja.
Aidha, bao jingine lilifungwa na Simon Ziller kabla ya Jorge Mere kuwasawazishia wenyeji wa mchezo huo ambao walikuwa wameukamia.
Hata hivyo, Ushindi huo unaipeleka Dortmund hadi nafasi ya pili katika ligi kuu ya Ujerumani maarufu kwa jina Bundesliga.
Comments