Katika msimu huu wa mwaka mpya vituo mbalimbali vya mafuta zanzibar
vimekumbwa na uhaba wa mafuta ya petrol hali iliyopelekea msongamano
mkubwa wa vyombo vya moto vikisubiri huduma ya ya mafuta.
Mwandishi wetu ametuandalia picha zinazoonesha hali halisi ya vituo
mbali mbali vya mafuta ilivyokuwa leo asubuhi Januari 3, 2018.
chanzo:Zanzibar24.
Comments