
Ujumbe wa Twitter wa Trump ndio wa hivi punde wakati ya
majibizano kati ya viongozi wa mataiafa hayo mawili yaliyo na silaha za
nyukiia.
Mapema wiki hii Kim alionya kuwa kibonyezo chake cha nyuklia kawaida kiko kwenye meza yake.
Korea Kaskazini inadai kuwa ina silaha za nyulia na inaweza
kuishambulia Marekani huku wadadisi wakisema kuwa ikiwa Korea Kaskazini
ina silaha za nyulia haibainiki ikiwa ina teknolojia ya kuzitumia.
Kando
na kuitishia Marekani, ujumbe wa mwaka mpya wa Kim pia uliwashangaza
wengi wakati alisema kuwa alikuwa aayari kwa mazungumzo na Korea Kusini
na ange[penda kuituma timu kwa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi
nchini Korea Kusini mwezi ujao.
chanzoBbc.
Comments