
Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye alikuwa Afisa Mnadhimu Kikosi cha Polisi Reli Tanzania.
Mary alifariki dunia jana tarehe 01 Januari 2018 katika hospitali ya
Rabinisia Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu na msiba upo
Gerezani Railway Club Jijini Dar es Salaam.

Comments