Muonekano katika Picha: Makamo wapili wa Rais wazanzibar atembelea maonyesho ya biashara Mjini Unguja.

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akipata maelezo kutoka kwa Afisa uhusiano wa Taasisi ya Viwango Zanzibar Aisha Abdulkheir Mohammed wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiangalia Bidhaa za Vipodozi na kupatiwa maelezo kuhusu matumizi yake na Bitatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipatiwa bidhaa ya Sabuni zinazotengenezwa na Mjasiri amali wa Zaidat Product Bi Tatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa amefuatana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali baada ya  kutembelea sehemu mbalimbali katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
chanzo:Zanzibar24.

Comments