
Shalongo ambaye ni mganga maarufu katika eneo la Kitale nchini Kenya
inasemekana suala la kukosa wateja lilimtatiza sana kiasi cha kuchukua
uamuzi wa kujiua.
Mwili wake umepatikana ukining’inia kwenye paa la nyumba ukiwa
umefungwa kamba taarifa hii imeripotiwa katika jarida la Citizen’s
Edaily.
Chief wa eneo hilo Esther Waswa amethibitisha tukio la mganga huyo kujiua.
chanzo: zanzibar24.
Comments