Noshad akamatwa akiwa na Dhahabu na fedha taslimu za mataifa 15 uwanja wa ndege Zanzibar.

jumba
Mfanyabiashara Noshad Mohamed Suleiman amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akijaribu kuondoka nchini akiwa na madini ya dhahabu kilo 8 na fedha taslimu za mataifa 15.

Habari kamili zitakujia hivi punde.

chanzo:zanzibar24.

Comments